27Tera akamzaa Abramu (yaani, Abrahamu).
28Abrahamu alikuwa na wana wawili: Isaki na Ishmaeli.
29Hawa ndio waliokuwa wazao wa Hagari: Nebayothi mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, Kedari, Adbeeli, Mibsamu,
30Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema,
31Yeturi, Nafishi na Kedema. Hao ndio wana wa Ishmaeli.