49Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake.
50Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
51Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,
52Oholibama, Ela, Pinoni,
53Kenazi, Temani, Mibsari,