26Wale watu mashujaa walikuwa: Asaheli nduguye Yoabu, Elhanani mwana wa Dodo kutoka Bethlehemu,
27Shamothi Mharori, Helesi Mpeloni,
28Ira mwana wa Ikeshi kutoka Tekoa, Abiezeri kutoka Anathothi,
29Sibekai Mhushathi, Ilai Mwahohi,
30Maharai Mnetofathi, Heledi mwana wa Baana, Mnetofathi,