31Itai mwana wa Ribai kutoka Gibea ya Benyamini, Benaya Mpirathoni,
32Hurai kutoka mabonde ya Gaashi, Abieli Mwaribathi,
33Azmawethi Mbaharumi, Eliaba Mshaalboni,
34wana wa Hashemu Mgiloni, Yonathani mwana wa Shagee Mharari,
35Ahiamu mwana wa Sakari Mharari, Elifale mwana wa Uru,