41Uria Mhiti, Zabadi mwana wa Alai,
42Adina mwana wa Shiza Mreubeni, ambaye alikuwa mkuu wa Wareubeni, akiwa pamoja na watu thelathini,
43Hanani mwana wa Maaka, Yoshafati Mmithni,
44Uzia Mwashterathi, Shama na Yeieli wana wa Hothamu Mwaroeri,
45Yediaeli mwana wa Shimri, nduguye Yoha Mtizi,