35Wana wa Helemu ndugu yake walikuwa: Sofa, Imna, Sheleshi na Amali.
36Wana wa Sofa walikuwa: Sua, Harneferi, Shuali, Beri, Imra,
37Bezeri, Hodu, Shama, Shilsha, Ithrani na Beera.
38Wana wa Yetheri walikuwa: Yefune, Pispa na Ara.
39Wana wa Ula walikuwa: Ara, Hanieli na Risia.