12Wana wa Elpaali walikuwa: Eberi, Mishamu, Shemedi (aliyeijenga miji ya Ono na Lodi, pamoja na vijiji vilivyoizunguka),
13na Beria na Shema, waliokuwa viongozi wa zile jamaa zilizokuwa zinaishi katika mji wa Aiyaloni, na ambao waliwafukuza wenyeji wa Gathi.
14Wana wa Beria walikuwa Ahio, Shashaki, Yeremothi,
15Zebadia, Aradi, Ederi,
16Mikaeli, Ishpa, na Yoha.