25Ifdeya na Penueli.
26Shamsherai, Sheharia, Athalia,
27Yaareshia, Eliya na Zikri walikuwa wana wa Yerohamu.
28Hawa wote walikuwa viongozi wa jamaa zao wakuu, kama ilivyoorodheshwa katika koo zao, nao waliishi Yerusalemu.
29Yeieli alikuwa baba yake Gibeoni naye aliishi huko Gibeoni. Mke wake aliitwa Maaka.