1 Samweli 8

Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Bwana.

1 Samuel 8:21 (UKJV) And Samuel heard all the words of the people, and he rehearsed them in the ears of the LORD.

19Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala.

20Kisha tutakuwa kama mataifa mengine yote, tukiwa na mfalme wa kutuongoza na kwenda mbele yetu na kutupigania vita vyetu.”

21Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Bwana.

22Bwana akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.” Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.