2Lakini neno hili la Bwana likamjia Shemaya mtu wa Mungu:
3“Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni mfalme wa Yuda, na Israeli wote walioko Yuda na Benyamini,
4‘Hili ndilo asemalo Bwana: Msipande kupigana dhidi ya ndugu zenu. Nendeni nyumbani, kila mmoja wenu, kwa kuwa hili nimelitenda mimi.’ ” Kwa hiyo wakalitii neno la Bwana na wakaacha kwenda kupigana dhidi ya Yeroboamu.
5Rehoboamu akaishi Yerusalemu akajenga miji yenye ngome katika Yuda:
6Akajenga Bethlehemu, Etamu, Tekoa,