2 Wakorintho 3

Basi Bwana ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Bwana hapo pana uhuru.

2 Corinthians 3:17 (UKJV) Now the Lord is that Spirit: and where the Spirit of the Lord is, there is liberty.

15Hata leo Sheria ya Mose inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao.

16Lakini wakati wowote mtu anapomgeukia Bwana, utaji unaondolewa.

17Basi Bwana ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Bwana hapo pana uhuru.

18Nasi sote, tukiwa na nyuso zisizotiwa utaji tunadhihirisha utukufu wa Bwana, kama kwenye kioo. Nasi tunabadilishwa ili tufanane naye, toka utukufu hadi utukufu mkuu zaidi, utokao kwa Bwana, ambaye ndiye Roho.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.