Matendo 16

Wakamwambia neno la Bwana yeye pamoja na wote waliokuwako nyumbani mwake.

Acts 16:32 (UKJV) And they spoke unto him the word of the Lord, and to all that were in his house.

30Kisha akawaleta nje akisema, “Bwana zangu, nifanye nini nipate kuokoka?”

31Wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako.”

32Wakamwambia neno la Bwana yeye pamoja na wote waliokuwako nyumbani mwake.

33Wakati ule ule, yule mkuu wa gereza akawachukua, akawaosha majeraha yao, kisha akabatizwa yeye pamoja na wote waliokuwa nyumbani mwake bila kuchelewa.

34Akawapandisha nyumbani mwake akawaandalia chakula, yeye pamoja na nyumba yake yote wakafurahi sana kwa kuwa sasa walikuwa wamemwamini Mungu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.