36Paulo alipomaliza kusema haya akapiga magoti pamoja nao wote akaomba.
37Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu,
38Kilichowahuzunisha zaidi ni kwa sababu ya yale maneno aliyosema kwamba kamwe hawatauona uso wake tena. Wakaenda naye mpaka kwenye meli.