Waefeso 4

Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo.

Ephesians 4:2 (UKJV) With all lowliness and meekness, with longsuffering, forbearing one another in love;

1Basi, mimi niliye mfungwa wa Bwana, nawasihi mwenende kama inavyostahili wito wenu mlioitiwa.

2Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo.

3Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani.

4Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile mlivyoitwa katika tumaini moja.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.