14Tengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo.
15“Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.
16Kila mhimili uwe na urefu wa dhiraa kumi na upana wa dhiraa moja na nusu,
17zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.
18Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,