20Kutoka wazao wa Imeri: Hanani na Zebadia.
21Kutoka wazao wa Harimu: Maaseya, Eliya, Shemaya, Yehieli na Uzia.
22Kutoka wazao wa Pashuri: Elioenai, Maaseya, Ishmaeli, Nethaneli, Yozabadi na Elasa.
23Miongoni mwa Walawi: Yozabadi, Shimei, Kelaya (ndiye Kelita), Pethahia, Yuda na Eliezeri.
24Kutoka waimbaji: Eliashibu. Kutoka mabawabu: Shalumu, Telemu na Uri.