Mwanzo 2

Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.

Genesis 2:1 (UKJV) Thus the heavens and the earth were finished, and all the host of them.

1Kwa hiyo mbingu na dunia zikakamilika, pamoja na vyote vilivyomo.

2Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote.

3Mungu akaibariki siku ya saba akaifanya takatifu, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kazi zote za kuumba alizokuwa amefanya.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.