23Wana wa Shobali walikuwa: Alvani, Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu.
24Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. Huyu Ana ndiye aligundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda za Sibeoni baba yake.
25Watoto wa Ana walikuwa: Dishoni na Oholibama binti wa Ana.
26Wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani.
27Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani.