20Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa.
21Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.
22Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
23Enoki aliishi jumla ya miaka 365.
24Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.