Waebrania 10

Lakini sisi hatumo miongoni mwa hao wanaositasita na kuangamia, bali tuko miongoni mwa hao wenye imani na hivyo tunaokolewa.

Hebrews 10:39 (UKJV) But we are not of them who draw back unto perdition; but of them that believe to the saving of the soul.

37Kwa kuwa bado kitambo kidogo tu, “Yeye ajaye atakuja wala hatakawia.

38Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye kama akisitasita, sina furaha naye.”

39Lakini sisi hatumo miongoni mwa hao wanaositasita na kuangamia, bali tuko miongoni mwa hao wenye imani na hivyo tunaokolewa.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.