20pia wageni wote walioko huko; wafalme wote wa nchi ya Usi; wafalme wote wa Wafilisti (wale wa Ashkeloni, Gaza, Ekroni na watu walioachwa huko Ashdodi);
21Edomu, Moabu na Amoni;
22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ngʼambo ya bahari;
23Dedani, Tema, Buzi na wote walio maeneo ya mbali;
24wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa;