Ayubu 12

Je, sikio haliyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula?

Job 12:11 (UKJV) Does not the ear try words? and the mouth taste his food?

9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili?

10Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe, na pumzi ya wanadamu wote.

11Je, sikio haliyajaribu maneno kama vile ulimi uonjavyo chakula?

12Je, hekima haipatikani katikati ya wazee? Je, maisha marefu hayaleti ufahamu?

13“Hekima na nguvu ni vya Mungu; shauri na ufahamu ni vyake yeye.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.