Yohana 5

Kama mngelimwamini Mose, mngeliniamini na mimi kwa maana aliandika habari zangu.

John 5:46 (UKJV) For had all of you believed Moses, all of you would have believed me; for he wrote of me.

44Ninyi mwawezaje kuamini ikiwa mnapeana utukufu ninyi kwa ninyi, lakini hamna bidii kupata utukufu utokao kwa Mungu?

45“Lakini msidhani kuwa mimi nitawashtaki mbele za Baba, mshtaki wenu ni Mose, ambaye mmemwekea tumaini lenu.

46Kama mngelimwamini Mose, mngeliniamini na mimi kwa maana aliandika habari zangu.

47Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Mose, mtaaminije ninayoyasema?”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.