44Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake.
45Ekroni, pamoja na viunga vyake na vijiji vyake;
46magharibi ya Ekroni, maeneo yote yaliyokuwa karibu na Ashdodi, pamoja na vijiji vyake;
47Ashdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu.
48Katika nchi ya vilima: Shamiri, Yatiri, Soko,