25Gibeoni, Rama na Beerothi,
26Mispa, Kefira, Moza,
27Rekemu, Irpeeli, Tarala,
28Zela, Elefu, mji wa Wayebusi (yaani Yerusalemu), Gibea na Kiriathi; miji kumi na minne pamoja na vijiji vyake. Huu ndio uliokuwa urithi wa Benyamini kwa ajili ya koo zake.