4Ni lazima tununue maji tunayokunywa, kuni zetu zapatikana tu kwa kununua.
5Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, tumechoka na hakuna pumziko.
6Tumejitolea kwa Misri na Ashuru tupate chakula cha kutosha.
7Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena, na sisi tunachukua adhabu yao.
8Watumwa wanatutawala na hakuna wa kutuokoa mikononi yao.