Luka 2

Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako,

Luke 2:30 (UKJV) For mine eyes have seen your salvation,

28ndipo Simeoni akampokea mtoto mikononi mwake na kumsifu Mungu, akisema:

29“Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi, sasa wamruhusu mtumishi wako aende zake kwa amani.

30Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako,

31ulioweka tayari machoni pa watu wote,

32nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.