Marko 5

Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi.

Mark 5:1 (UKJV) And they came over unto the other side of the sea, into the country of the Gadarenes.

1Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika nchi ya Wagerasi.

2Yesu alipotoka kwenye mashua, mara mtu mmoja mwenye pepo mchafu akatoka makaburini akakutana naye.

3Mtu huyu aliishi makaburini, wala hakuna aliyeweza kumzuia hata kwa kumfunga minyororo.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.