38Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.
39Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’
40Amri hizi mbili ndizo msingi wa Sheria na Manabii.”
41Wakati Mafarisayo walikuwa wamekusanyika pamoja, Yesu akawauliza,
42“Mnaonaje kuhusu Kristo? Yeye ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Yeye ni mwana wa Daudi.”