Mathayo 24

Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.

Matthew 24:50 (UKJV) The lord of that servant shall come in a day when he looks not for him, and in an hour that he is not aware of,

48Lakini kama huyo mtumishi ni mwovu, naye akasema moyoni mwake, ‘Bwana wangu atakawia muda mrefu,’

49kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, na kula na kunywa pamoja na walevi.

50Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.

51Atamkata vipande vipande na kumweka katika sehemu moja pamoja na wanafiki, mahali ambako kutakuwa ni kulia na kusaga meno.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.