28katika Siklagi, katika Mekona na makazi yake,
29katika En-Rimoni, katika Sora, katika Yarmuthi,
30Zanoa, Adulamu na vijiji vyake, katika Lakishi na mashamba yake, na katika Azeka na makazi yake. Hivyo walikuwa wakiishi kuanzia Beer-Sheba mpaka Bonde la Hinomu.
31Wazao wa Wabenyamini kutoka Geba waliishi Mikmashi, Aiya, Betheli na makazi yake,
32katika Anathothi, Nobu na Anania,