6Wazao wa Peresi walioishi Yerusalemu walikuwa 468, watu wenye uwezo.
7Kutoka wazao wa Benyamini: Salu mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseya, mwana wa Ithieli, mwana wa Yeshaya
8na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928.
9Yoeli mwana wa Zikri alikuwa afisa wao mkuu, naye Yuda mwana wa Hasenua alikuwa msimamizi juu ya Mtaa wa Pili katika mji.
10Kutoka makuhani: Yedaya, mwana wa Yoyaribu, Yakini,