5Miyamini, Moadia, Bilga,
6Shemaya, Yoyaribu, Yedaya,
7Salu, Amoki, Hilkia na Yedaya. Hawa walikuwa viongozi wa makuhani na wenzao wakati wa Yeshua.
8Walawi walikuwa Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na pia Matania, ambaye pamoja na wenzake, alikuwa kiongozi wa nyimbo za shukrani.
9Bakbukia na Uni, wenzao, walisimama mkabala nao wakati wa ibada.