10kutoka wana wa Yosefu: kutoka Efraimu, ni Elishama mwana wa Amihudi; kutoka Manase, ni Gamalieli mwana wa Pedasuri;
11kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni;
12kutoka Dani, ni Ahiezeri mwana wa Amishadai;
13kutoka Asheri, ni Pagieli mwana wa Okrani;
14kutoka Gadi, ni Eliasafu mwana wa Deueli;