Hesabu 1

Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400.

Numbers 1:29 (UKJV) Those that were numbered of them, even of the tribe of Issachar, were fifty and four thousand and four hundred.

27Idadi kutoka kabila la Yuda walikuwa watu 74,600.

28Kutoka wazao wa Isakari: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.

29Idadi kutoka kabila la Isakari walikuwa watu 54,400.

30Kutoka wazao wa Zabuloni: Wanaume wote waliokuwa na miaka ishirini au zaidi ambao waliweza kutumika katika jeshi waliorodheshwa kwa majina, kufuatana na kumbukumbu za koo zao na jamaa zao.

31Idadi kutoka kabila la Zabuloni walikuwa watu 57,400.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.