Hesabu 10

naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi.

Numbers 10:20 (UKJV) And over the host of the tribe of the children of Gad was Eliasaph the son of Deuel.

18Vikosi vya kambi ya Reubeni vilifuata, chini ya alama yao. Elisuri mwana wa Shedeuri alikuwa kiongozi wao.

19Shelumieli mwana wa Surishadai aliongoza kikosi cha kabila la Simeoni,

20naye Eliasafu mwana wa Deueli aliongoza kikosi cha kabila la Gadi.

21Kisha Wakohathi wakaondoka, wakichukua vitu vitakatifu. Maskani ilikuwa isimamishwe kabla wao hawajafika.

22Vikosi vya kambi ya Efraimu vilifuata, chini ya alama yao. Elishama mwana wa Amihudi alikuwa kiongozi wao.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.