7kutoka kabila la Isakari, Igali mwana wa Yosefu;
8kutoka kabila la Efraimu, Hoshea mwana wa Nuni;
9kutoka kabila la Benyamini, Palti mwana wa Rafu;
10kutoka kabila la Zabuloni, Gadieli mwana wa Sodi,
11kutoka kabila la Manase (kabila la Yosefu), Gadi mwana wa Susi;