49kutoka kwa Yeseri, ukoo wa Wayeseri; kutoka kwa Shilemu, ukoo wa Washilemu.
50Hizi ndizo zilizokuwa koo za Naftali; wale waliohesabiwa walikuwa 45,400.
51Jumla ya hesabu ya wanaume wa Israeli ilikuwa 601,730.
52Bwana akamwambia Mose,
53“Watagawiwa nchi kama urithi kwa kulingana na hesabu ya majina.