14Wakaondoka Alushi, wakapiga kambi Refidimu, mahali ambapo hapakuwa na maji kwa ajili ya watu kunywa.
15Wakaondoka Refidimu na kupiga kambi katika Jangwa la Sinai.
16Wakaondoka katika Jangwa la Sinai na kupiga kambi huko Kibroth-Hataava.
17Wakaondoka Kibroth-Hataava na kupiga kambi huko Haserothi.
18Wakaondoka Haserothi na kupiga kambi huko Rithma.