45Wakaondoka Iye-Abarimu, wakapiga kambi huko Dibon-Gadi.
46Wakaondoka Dibon-Gadi na kupiga kambi huko Almon-Diblathaimu.
47Wakaondoka Almon-Diblathaimu na kupiga kambi katika milima ya Abarimu, karibu na Nebo.
48Wakaondoka kwenye milima ya Abarimu na kupiga kambi kwenye tambarare ya Moabu, kando ya Yordani ngʼambo ya Yeriko.
49Huko kwenye tambarare za Moabu walipiga kambi kandokando ya Mto Yordani, kuanzia Beth-Yeshimothi mpaka Abel-Shitimu.