Hesabu 4

“Wahesabu pia Wagershoni kwa jamaa zao na koo zao.

Numbers 4:22 (UKJV) Take also the sum of the sons of Gershon, throughout the houses of their fathers, by their families;

20Lakini Wakohathi hawaruhusiwi kuingia ndani ili kuangalia vitu vitakatifu, hata kwa kitambo kidogo, la sivyo watakufa.”

21Bwana akamwambia Mose,

22“Wahesabu pia Wagershoni kwa jamaa zao na koo zao.

23Wahesabu wanaume wote wenye umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao huja kutumika katika Hema la Kukutania.

24“Hii ndiyo huduma ya koo za Wagershoni wakati wanapofanya kazi na kubeba mizigo.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.