Hesabu 4

waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 3,200.

Numbers 4:44 (UKJV) Even those that were numbered of them after their families, were three thousand and two hundred.

42Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.

43Wanaume wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi miaka hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania,

44waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 3,200.

45Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Wamerari. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatia amri ya Bwana kupitia kwa Mose.

46Hivyo Mose, Aroni na viongozi wa Israeli waliwahesabu Walawi wote kwa koo zao na jamaa zao.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.