23“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni:
24“ ‘ “Bwana akubariki na kukulinda;
25Bwana akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili;
26Bwana akugeuzie uso wake na kukupa amani.” ’
27“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”