29“Wanawake wengi hufanya vitu vyenye sifa nzuri, lakini wewe umewapita wote.”
30Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu na uzuri unapita upesi, bali mwanamke anayemcha Bwana atasifiwa.
31Mpe thawabu anayostahili, nazo kazi zake na zimletee sifa kwenye lango la mji.