16Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, mimi ni mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako; umeniweka huru toka katika minyororo yangu.
17Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru na kuliita jina la Bwana.
18Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana mbele za watu wake wote,
19katika nyua za nyumba ya Bwana, katikati yako, ee Yerusalemu. Msifuni Bwana.