Zaburi 144

Heri watu ambao hili ni kweli; heri wale ambao Bwana ni Mungu wao.

Psalm 144:15 (UKJV) Happy is that people, that is in such a case: yea, happy is that people, whose God is the LORD.

13Ghala zetu zitajazwa aina zote za mahitaji. Kondoo zetu watazaa kwa maelfu, kwa makumi ya maelfu katika mashamba yetu;

14maksai wetu watakokota mizigo mizito. Hakutakuwa na kubomoka kuta, hakuna kuchukuliwa mateka, wala kilio cha taabu katika barabara zetu.

15Heri watu ambao hili ni kweli; heri wale ambao Bwana ni Mungu wao.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.