38Lakini watenda dhambi wote wataangamizwa, mafanikio yao yatakatiliwa mbali.
39Wokovu wa wenye haki hutoka kwa Bwana, yeye ni ngome yao wakati wa shida.
40Bwana huwasaidia na kuwaokoa, huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi, kwa maana wanamkimbilia.