Warumi 12

Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.

Romans 12:10 (UKJV) Be kindly affectionate one to another with brotherly love; in honour preferring one another;

8kama ni kutia moyo na atie moyo, kama ni kuchangia kwa ajili ya mahitaji ya wengine na atoe kwa ukarimu, kama ni uongozi na aongoze kwa bidii, kama ni kuhurumia wengine na afanye hivyo kwa furaha.

9Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.

10Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.

11Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana.

12Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.