1 Nyakati 1

Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. Wana wa Isaki walikuwa: Esau na Israeli.

1 Chronicles 1:34 (UKJV) And Abraham brings forth Isaac. The sons of Isaac; Esau and Israel.

32Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. Wana wa Yokshani walikuwa: Sheba na Dedani.

33Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura.

34Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. Wana wa Isaki walikuwa: Esau na Israeli.

35Wana wa Esau walikuwa: Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora.

36Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.