33Wana wa Midiani walikuwa: Efa, Eferi, Hanoki, Abida na Eldaa. Wote hao walikuwa wa uzao wa Ketura.
34Abrahamu alikuwa baba wa Isaki. Wana wa Isaki walikuwa: Esau na Israeli.
35Wana wa Esau walikuwa: Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora.
36Wana wa Elifazi walikuwa: Temani, Omari, Sefo, Gatamu na Kenazi; Elifazi kwa Timna akamzaa Amaleki.
37Wana wa Reueli walikuwa: Nahathi, Zera, Shama na Miza.